House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







#APARTMENT NZURI NA KUBWA. INAPANGISHWA
đź’Ą APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO CHA NDANI KWA NDANI KIZURI
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
APARTMENT HII IPO #KIMARA_SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
#BEI NI 28000K X 6
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 20K
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#Pia Kuna chumba na sebule jiko na choo ndani laki moja na themanini maji umeme INAJITEGEMEAA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















