House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment ya Chumba master Sebule na Jiko (200,000) #MBEZI_KWA_MSUGURI
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
# CHUMBA MASTER
# SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI
# STORE
# UMEME UNAJITEGEMEA
# MAJI NI YANAFLOW NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 200,000 × 6 ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
NYUMBA YA CHINI NDIO IPO WAZI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:0677445508