House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KIBABE INAPANGISHWA LAKI 2.5 IPO MBEZI MALAMBA DSM, DK 3 TOKA LAMI.
KODI 250000 ×3+MWEZI WA DALALI
NB NYUMBA ITAKUWA WAZI TAREHE 23/5/2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO SAFI
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASCO YANATOKA NDANI MITA YAKO
NYUMBA ZIPO 3 NDANI YA FENSI
KUONA NYUMBA 15
SIMU 0659336751 WSP 0786085637