House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI NI 150,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDGO YA STEND YA MAGUFUL BUS TEMINAL
UMBALI WA KUTEMBEA DK 8 MPKA 10TU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD PIA USAFIRI WA BODA UPO ELFU MOJA MPKA GETINI
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW CHOON
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
0742260844
0657384670