House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(150,000,X3) MBEZI KWA NJIA YA MPIJI MAGOHE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENTS NZURII SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPO IPO WAZII
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW NDANI 
SIFA ZAKE
>CHUMBA KIKUBWA MASTER 
>SEBULEE
>JIKO( KUBWA SANA 
>PUBLIC TOILET NJEE
>TAILS,GYPSUM,SLIDE WINDOWS 
>PARKING SPACE KUBWA  IMEBAKI MOJA 
🛣LOCATION:MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOE KITUO MACHIMBO
UMBALI KM 3...USAFIRI DALADALA 500 NA BAJAJI 1000 ,UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
💰BEI:LAKI 150,000 Miezi x3x4x5x6👈
SERVICE CHARGE ELFU 15
MTEJA UKIPENDA NYUMBA UNAMLIPA DALALI ELA YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453




















