House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA ZIPO MBEZI MALAMBA DSM,DK 10 TOKA LAMI. NDANI YA FENSI.
KODI TSH 250,000/=×6+MWEZI 1 WA DALALI
KUONA NYUMBA TSH 20,000/=
SIFA YA NYUMBA
___VYUMBA 2 KIMOJA MASTER
___SEBULE KUBWA
___JIKO
___CHOO CHA FAMILIA
___MAJI DAWASCO MITA YAKO
___UMEME LUKU YAKO
__PARKING KUBWA
PIGA 0659336751
WSP 0786085637



















