House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







0679 997610 
#APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 
IPO #KIMARA_KOROGWE_KILUNGURE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS 
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 DALALLDALA ZIPO ZINAZOTOKA MJIN KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI NA UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI BRBR SAFI YA LAMI MPKA NYUMBAN 
#KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE 
=========
CHUMBA MASTER KUBWA 
SEBULE KUBWA SANA 
JIKO ZURI KUBWA
LENYE MAKABATI 
TILLES & GYPSUM 
ALUMINIUM SAFI
NDAN YA FENS 
LUKU YAKE 
MAJI YAPO DAWASA 
MASAA 24
YANAFLOW CHOONI NA JIKONI 
NDAN YA FENSI 
PARKING SPACE KUBWA 
PERVING BLOCK SAFI 
MAZINGIRA MAZUR 
NA TULIVU SANAAA
SERVICHAJ ELFU 20
CONTACT
0679 997610 
0747997630
Msigwa




















