House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HII ILIOKUA WAZI IMELIPIWA ILA IPO NYINGINE INAKUA WAZI TAR 05/12/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA KABISA
.
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJ 1000 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
PIA KWA WALE WANAOTOKEA TABATA SEGEREA KUELEKEA MBEZI MWISHO UNASHUKA KIFURU AU MBEZI MWISHO KUELEKEA SEGEREA UNASHUKA KIFURU INAWAFAA SANA HII NYUMBA
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI LAKO MWENYEWE LA NJE NA PUBLIC TOILET NZURI ZA NJE
ZIPO APARTMENT 4 APA NA HII MOJA NDO IPO WAZI WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOON
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT 0659244543



















