House/Apartment for Rent at Mikocheni, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Mikocheni
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 3
☑️Karibu Sana Na Lami
☑️Master Sebule Jiko
☑️Fensi & Parking
☑️Mtaa Umetulia Sana
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalali