House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 160,000/= X 6
MPYA MPYA MPYA !!!!!!!!
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#LUKU MATUMIZI YAKO NA MITA YA MAJI DAWASA BILL
#PARKING IPO
💥INAYOPANGISHWA NI IZO ZA JUU NDUGU MTEJA
BEI NI 160,000/= X 6
NB: MADIRISHA YANAWEKWA VIOO
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI KULIA KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 NA NJIA NI RAFIKI ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
##0655256419