House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA, APARTMENT ZIPO MBILI TU KWENYE FENSI.
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO, FENI SEBULENI NA CHUMBANI.
MITA YA UMEME INAJITEGEMEA NA KUNA TENKI LA MAJI (DAWASA) WAWILI TU.
LOCATION: PUGU KWA RAIS..
KODI 150000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT 0614130017