House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Sinza
Bei: 600,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6 + 1 (Deposit)
Karibu Sana Na Lami. Mtaa Umetulia
☑️Zipo 2 Kwenye Compound
☑️Master Sebule Jiko (Umeshawekewa Plate)
☑️Choo Cha Wageni
☑️Fensi Ya Umeme & Parking
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Full Ac, Heater, Wi-Fi, Multilock Door
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz