House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri zipo 4 Moja ndio ipo wazi
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga take Gate
Kodi 250000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
===========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Choo ndani
Luku y
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565