House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Dakika 1
Kodi 150000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Ni Master Bedroom Kubwa
Sehemu ya Jiko
Luku wa 2
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Good environment



















