House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







(250,000X4) UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5 MPKA SITA
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
.
UMBALI KM 1.7 KUTOKEA KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700
.
SIFA ZAKE
=========
✔️CHUMBA
✔️SEBULE
✔️CHOO NDANI
✔️JIKO
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA WAPANGAJI 2 TU KWENYE FENS
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0726223412
0683597453