House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni Boda ni Bajaji 500
Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565