House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
KODI 550K MIEZI 6
NYUMBA HII IPO UBUNGO EXTRENAL (MIGOMBANI) UNAWEZA UKAPITIA TABATA SEGEREA USAFIRI WA UHAKIKA NJIA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI YA CHINI
SIFA ZAKE
#VYUMBA_VINNE_VYA_KULALA _VYA_KULALA
#KIMOJAWAPO_MASTER_BEDROOM
#SEBULE
#JIKO_KUBWAZURI_MAKABATI
#PUBLICTOILET
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA FULL GARDEN
SERVICE CHARGE 20,000
AGENT FEE ONE MONTH 550,000
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 08.10.2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA BOSS
SIMU 0659336751 WSP 0786085637