House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga take Nyumba Lami Nyumba
Kodi 300000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Chumba na Sebule
Jiko
Choo ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Pavin Block
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















