House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 6 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 230000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko zuri na Kabati
Luku Sub mita wa 3
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Dirisha shata nzuri
Good environment
Wapangaji wa 3 tuu
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
#0710614924.
#0688653940