House/Apartment for sale at Kariakoo, Dar Es Salaam


Apartment nzuri ya kisasa inauzwa ipo kariakoo lumumba street floor ya kumi na moja (11)
- Ina vyumba V4, kimoja master
- Jengo lina lifti na standby generator masaa 24
- Ina title deed
- Bei USD 135,000 mwisho USD 130,000 top top.
Contact call 0712531657
0789731695