House/Apartment for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MNO ZINAUZWA 
MBEZI KIBANDA CHA MKAA 
ZENYE SIFA HIZO###
ZINA HATI YA WIZARA
(Clean tittle deed)
÷÷÷÷÷÷ZIKO UMBALI WA DK 10 TOKA  TU TOKA  MOROGORO ROAD÷÷÷÷÷ 
ZIKO 2 KWENYE COMPOUND####
KILA 1 VYUMBA V2 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO LA KISASA,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI WIRE######
UKUBWA WA ENEO SQM 3,000÷÷÷÷ MTAA MZURI MNO####
BEI MILLION 120 MAONGEZI
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363




















