House/Apartment for sale at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
It's Apartments
TABATA KINYEREZI (MADIBA'Z)
INA APARTMENT JUMLA 3
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE MASWALA YA UMEME/MAJI NK
UKUBWA INA VYUMBA vitat KIMOJA NI MASTER BEDROOM
VYUMBA KWA V
SEBULE
JIKO/STOO NA PARKING UNAWEZA KUPARK MAGARI MADOGO 8/10
DOCUMENTS TITLEDEED YA WIZARA YA ARIDHI
JAMANIII NYUMBA INAUZWA MILLION 185ml
Hapo awali muhusika alianzia 250ml
Wahiii sasa kwa
BEI.MILLION 185ml MAZUNGUMZO KIDOGO YAPO
MAWASILIANO.
0657 777 771
0747 257 771
0620 579 936
DALALI TANZANIA ๐น๐ฟ
KASINGE KATONDA 2024