Plot for sale at Chanika, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa,
Ni nzuri sana,
Kama inavyoonekana.
Ipo CHANIKA _TALIANI.
Ina vyumba vinne,
Kimoja ni master,
Vyumba vyote Vina makabati ya ukutani na kiyoyozi (AC).
Ina sebule mbili, juu na chini.
Dinning kubwa, jiko na stoo.
Ina swimming pool kubwa 10*5.
Ina servant cota yenye ๐
Chumba cha kufulia, office, choo na bafu na stoo.
Ina electric fence na kibanda cha mlinzi.
Nyumba ina hati.
Ukubwa wa eneo ni 694 SQM.
Bei mil 260.
Maongezi kidogo yapo.
Mawasiliano ๐
โก๏ธโ๏ธ0679 077638