Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


MRADI MPYA - GOBA (TRIPPLE B)📞📞0768148964
>Mradi upo karbu na barabara ya lami
>Umbali ni METER 50 Toka barabara ya  lami (GOBA ROAD)
>Bei ni 120,000 kwa sqm
>Huduma vote muhimu zipo eneo la mradi I.e MAJI, UMEME, BARABARA n.k
>Eneo linatazama barabara kubwa ya mtaa.
>Kampuni itasaidia ufuatiliaji wa  HATIMILIKI kwa mteja baada ya kukamilisha malipo yote.
  MIRADI YETU MINGINE
 *GOBA
 *MADALE
 *KIGAMBONI MWONGOZO
 *KIBAHA STAND MPYA
 *KIBAHA PICHA YA NDEGE
OFISI ZETU ZIPO MWENGE MPAKANI, JENGO LA TANZANITE TOWER, 2nd floor.
 KARIBUNI SANA
Call/ 0768148964




















