Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KILICHOPIMWA, SQM.1,500, TSHS.40 MILIONI, LUGURUNI/KIBAMBA.
Kiwanja kizuri ambacho Kipp umbali wa kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Upande wa nyuma wa Ofusi za Halmashauri ya Ubungo.
Bodaboda Nauli ni Tshs.1,000 tu.
Mungo akupe nini tena?
Wahi nasema wahi ukichelewa tusilaumiane.
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mpg