Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KIKUBWA
KINAUZWA
LOCATION: KIBAMBA SHULE.
💥 SIFA ZA KIWANJA>>
#KIWANJA KINA SQMT 500.
#KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI SANA, NA MAJIRANI WANAOJIELEWA.
#HUDUMA MUHIMU, MAJI SAFI DAWASA NA UMEME, ZIPO.
#KINAFAA KWA MAKAZI, PIA
KINAFAA KUJENGWA NYUMBA ZA BIASHARA ( APARTMENT'S)
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE METERS 500.
💥BEI NI MILION 22
MAONGEZI YAPO
KIWANJA HIKI KIPO KIBAMBA SHULE UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAHA.
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 2.
USAFIRI >>>
PIKI PIKI TSH1000/=
BARA BARA INAFIKA HADI SITE
DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
KIWANJA HIKI KIMEPIMWA BADO KUPATIWA HATI MILIKI TUU..
SERVICE CHARGE 20K.
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA 📌
0679 956 863
0759151524