Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ Kiwanja kinauzwa kigamboni dege
๐Umbal wa kilometer 15 kutoka fer yaan kivukoni
๐Napia umbal wa kilometer 14 kutoka Daraja Ra nyelele
SIFA ZA KIWANJA
Kiwanja kinaumbali wa meter 400 kutoka men rod kubwa ya rami
Pia kiwanja kina Hati ya wizara
๐Kiwanja kinaukubwa wa sqm 600
๐Majiran wako vizur
๐Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
๐Bei mill 28
โ๏ธ0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000