Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo kimara temboni
Kiwanja kipo umbali wa km 1 tu au haifiki ni pale kabla hujafika mwisho wa lami pale lami iyendayo nyumbani kwa mvugale
Ukubwa wa kiwanja sqm 1756
Kiwanja kina title deed
Bei mil 150 maongezi
Kiwanja kina barabara safi
Contact call 0712531657
0789731695



















