Plot for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Hello π, apa nina kiwanja kizuri sana kinauzwa.
Kiwanja hichi kipo Kinyerezi Mahakamani Kibaga.
Ni tambarare kabisa.
Kama unavyoona majirani nao wamefanya yao na kujenga nyumba za kisasa.
Ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana na ni fursa kubwa mnoo.
Apa ata ukijenga ukija kutembelewa kila mtu lazima akuulize ulipapataje sehemu tulivu hii π
Ukubwa ni sqm 800
Bei Mil 75
Service charge 30,000/=
Muhitaji piga 0688 412 890.