Plot for sale at Kisima, Kilimanjaro


Ukubwa wa eneo ni sqm 1340
Ukubwa wa kila nyumba ni sqm 150
Nyumba ina vyumba 3 kimoja master na viwili vina choo ya kushea
Kuna choo nyingine ya public
Kuna sebule, jiko na dinnin
Eneo lina kamera ambazo pia zinatumika kama simu
Ziko nyumba nne ndani ya fence moja
Parking ni kubwa,
Kuna fence ya umeme na kisima PIA Nyumba zipo kigambon kibada Nyumba ina Hati miliki nyamba aipo mbali na barabara kuu ya rami bei ml 700
0788156493
0614130017