Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo mtaa mzur sana
Ukubwa-sqm 500
Kimepimwa Hati bado
Bei-ml 30 maongez
Location- madale uzunguni
Umbal- km 1 kutoka main road
Karibuni
0719082300
0692904876
0762652066
Dalali mbezi bech afirikana