Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA
 NZURI SANA YA KISASA KABISA NDANI YA FENCE 
INAUZWA >> INAUZWA 
MBEZI KWA MSUGURI..
💥BEI YAKE  MILION 35 tu maongezi 
MAONGEZI YAPO KIDOGO..
SIFA ZA NYUMBA:..
#VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM. 
#SEBURE KUBWA 
#DINNING. 
#JIKO SAFI 
#PUBLIC TOILET & BATHROOM 
#UMEME UPO..
#BADO TU KUVUTA MAJI SAFI DAWASA..
#UKUBWA WA KIWANJA (20X10) SQM 200.
#DOCUMENT/ NI HATI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA..
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE, LAKINI HAILAZI GARI 📌
🏘️NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO, BARA BARA ILIYOWEKWA LAMI YA ZEGE..
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3,
NA GARI INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA..
USAFIRI..
BAJAJI  TSH1,000/= 
PIKI PIKI TSH1500/=
0784810004 
0779646072




















