Plot for sale at Mwambao, Pwani


ENEO ZURI LIMEKAMATA BARABARA YA LAMI LENYE NYUMBA NDANI YAKE LINAUZWA BINAFSI MBWENI MALINDI ( KINONDONI MUNICIPALITY)
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Kuna Nyumba Kubwa Ya Vyumba Vinne (4) ,Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa ( Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 767
Eneo Liko Mwambao Wa Pwani ( Coast Zone )
Umbali : Meter 135 Kutoka Baharini ( Very Potential Area)
Eneo Limekamata Barabara Kuu Ya Lami (Main Road Ya Kutoka Mbweni JKT)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Eneo Ni Zuri Sana Kwa Uwekezaji ( Apartments) Na Ujenzi Wa Nyumba Ya Kuishi
Bei : 135 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
#nyumbazakisasa #nyumbanafuu #makaziboranasalama #realestate #brokerstz #tanzania #daresalaam #biasharamtandaoni #mbeya #dodoma #kupatana #zoomtanzania #cloudstvtz #dstv #kcbbanktz #crdbbank #azaniabank #maendeleobank #stanbicbank