Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


KIWANJA NDANI YA FENSI, SQM.1,500 TSHS.60 MILIONI, PUGU-KONA.
Kiwanja kizuri mno ambacho kipo ndani ya Fensi na Geti lake.
Kipo PUGU-KONA /KAJIUNGENI.
Kwa Wageni wa Mji,
Hapa ni umbali wa kilomita 23 tu kutoka Mjini.
Yaani ni NUSU YA UMBALI WA KUTOKA POSTA HADI BUNJU .
Ukubwa SQM. 1500.
Umiliki is MKATABA WA MAUZIANO.
Mtaa umejengeka.
Nguzo ya Umeme ipk ndani ya Kiwanja na Mfumo wa Maji Safi pia upo.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________tp