Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


KIWANJA SQM.500 NA BANDA, INAUZA BANK, TSHS.19 MILIONI, PUGU KINYAMWEZI.
Banda limeshaezekwa na linaweza kukusitiri au kupangisha muangalizi.
Hapa ni umbali wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Lami inayoelekea Chanika ukitoka Pugu.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.