Plot for sale at Soweto, Kilimanjaro


*KIWANJA NDANI YA FENSI KINAUZWA MILIONI 33 MAONGEZI YAPO šKipo MALAMBA MAWILI (SOWETO STREET)*
-Kipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vizuri maji safi dawasco umeme vyote vipo kwenye Kiwanja
*Ukubwa wa kiwanja ni sqmt 500 Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
āUmbali Kilometer 1 tu kutoka barabara ya lami ya MALAMBA TWO KINYEREZI
āBarabara safi mpaka kwenye kiwanja ni mkeka kabisa njoo na gari ya aina yoyote
*Bei Tsh milioni 33 maongezi yapo*