Plot for sale at Wazo, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa. Kipo Tegeta Wazo umoja road
Ukubwa wa Kiwanja
Sqm 2997
Kiwanja ina hati miliki
Bei TShz Milioni 100 maongezi
Gharama ya kuona ni 20,000/=
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971
Karibuni Sana