House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita Moja Kutoka Main Road Riverside, Unaweza Kutembea au Boda 1000
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba KIMOJA cha Kulala Master Bedroom
• Jiko Kubwa la Nje
• Public Toilet ya Wageni
Kodi yake kwa Mwezi ni Tsh. 250,000/= Malipo Miezi Sita
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp