House for rent at Goba, Dar Es Salaam


MasterBedroom, Sebule na Jiko 250k, MasterBedroom na Jiko 180k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Njia Nne📍
• Chumba Kimoja Ni Master
• Maji na Umeme unajitegemea
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking
• Nyumba ipo Umbali Wa Dk 10 hadi Kwenye Nyumba
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 250k/180k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Minne (3)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba
ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲