House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa Sana
Nyumba IPO goba makongo mtipesa
BEI LAKI 400,000/= KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO NI MIEZI 6
Huduma maji dawasco na umeme unajitengemea
Nipigie simu
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp