House for rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA NZURI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA 250K X 4,5,6
ZIPO 3 NDANI YA FENSI MOJA
ILA HII 1 IPO WAZI KWA SASA
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO GOBA ROAD KWA ROBART ,KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BOBA 1000
KUTEMBEA NI DAKIKA 15 TU
‼️KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
🎤 IPO WAZI SASA KUONA NDANI RUKSA KABISA MALIPO YANAPOKELEWA
NA KUHAMIA
0713320608
0686334182