House for rent at Goba, Dar Es Salaam


470,000
APARTMENT INAPANGISHWA GOBA ROAD, KWA ROBART #470K
===
Vyumba 2 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
==
Kodi 470,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1.3
===
Ndani ya fence parking kubwa yakutosha, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Pia kila nyumba ina tank lake 3000litres
📍📌Nyumba hii ni nzuuri sanaa, ina A/C yake kabisa
Maji ni free
Paving blocks
Ulinzi upo , pia mlinzi alipwa na mwenyenyumba
Na mfanya usafi pia yupo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0713320608
0686334182