House for rent at Goba, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms (All Are Self), Sebule na Jiko 650k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba ( Makongo Road)
• Vyumba Viwili Vyote Master
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking
• Full Air Conditioner
• Kabati Za Nguo Chumbani✅
• Nyumba ipo Umbali wa Meter 800 kutoka lami (dk 15 kutembea)
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 650k/700k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6) kwa 650k, Miezi Minne kwa 700k
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲