House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili Vya kulala Kimoja master bedroom public toilet 🚻 jiko kumbwa pia zuri sana 
Huduma maji dawasco umeme Mita yako unajitegemea 
Full AC vyumba vyote 
Bei laki6 nanusu kwa mwezi kodi miezi6 tu 
Nyumba ipo goba lalata kutoka lami dakika 5tu 
Nipigie simu 0653966601




















