House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO
💧Location ::Goba njia nne
💧Bei :: 200,000 kwa Mwezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja ambacho ni master
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Feni
📍Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Kuona 20 k
0788633081
0756455653