House for rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


♦️NYUMBA MZUR SAN INAJITEGEMEYA KILA KITU UMEME NA MAJI INAPANGISHWA 450K 
♦️INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBURE DANING NA JIKO LAKE KWA 450K TU BOSS WANG 
♦️NYUMBA IPO KIGAMBONI DARAJANI SOWETO 
♦️KUTOKA DARAJANI MPAK KWENY NYUMBA BAJAJ 500
  BODA BODA 1000
♦️KODI KUAZIA MIEZI 5 NAKUENDELEA BOSS WNG 
♦️WAHI MAPEMA ULIPIE HII NYUMBA MZUR SAN 
♦️MALIPO YA DALALI CHAPAPA 450K SURVEY 20K 
☎️0750 886 103




















