House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 200,000X6 INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
Muundo
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
PARKING YA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KUELEKEA MBEZI
DK 8-10 KWA MIGUU
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347