House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
BEI NI 320,000/=X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
โผ๏ธHAKUNA MASTER BEDROOM HAPA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 320,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3 NA ELFU 20 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
=========
CALL
0683234124
0718367179