House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#MASTER KUBWA NA JIKO
------------------------------
📌Mahali: KIMARA SUKA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI (Dsm) 🇹🇿
Umbali: 1Km
Pikipiki 1000
Bajaji 500
_________________________
MUUNDO ÷
✔️Chumba Kikubwa Master
✔️Chumba kikubwa
✔️ Jiko Kubwa Sana
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Feni Ya Juu
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Ndani dawasa)
✔️LUKU Yako
📌 Ndani Ya Fensi &Parking ipo Kubwa
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 150,000/=x 6=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 06 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20,000/=
#0710614924
#0688653940