House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO 
......
CHUMBA SEBLEE CHOO NA JIKO
KODI LAKI MBILI NA KUMI (210,000)KWA MWEZI 
FULL TILES 
GYPSUM BOARD
ALUMINIUM WINDOW
LUKU YAKE
MAJI BULE
MAZINGILA MAZURI 
IPO KWNY FENSI YA WAYA
GARI MPK HAPO
UMBALI WA 1.3 KILOMETAR
USAFILI UPO MWINGI WAKATI WOTE
KUPELEKWA KUIONA NI ELFU 15
NB. ITAKUWA WAZI TH 01/03/2024 KUKAGUA NA KULIPIA LUKSA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU KWA AGENT
CONTACT
 0655256419




















